Mwanzilishi wa Jukwaa la Cheka Tu Coy Mzungu ameweka wazi kuwa licha ya staa wa Bongo Fleva na mkurugenzi wa Wasafi media Diamond platnumz kiandika kuwa ni CEO wa Cheka Tu, haimpi dhamana ya yeye kuwa mmiliki wa Cheka Tu.
Coy Mzungu ameongeza kuwa CEO mara nyingi huwa mwajiriwa kwenye kampuni lakini mwanzilishi ndio mmiliki hivyo watu walimtwike mzigo Diamond Platnumz
0 Comments