LICHA ya taarifa ambazo zimesambaa mitandaoni kumhusu mshambuliaji wa klabu ya Geita Gold FC,George Mpole kuwa yupo na sintofahamu na klabu yake kuhusu swala la mkataba wake,lakini jioni ya leo Jumanne ameonekana na kikosi hicho akifanya mazoezi ya mwisho kuwakabili Simba SC kesho Jumatano.
Mpole na Mchina ambaye ni mchezaji mpya klabuni hapo wameweka ahadi ya kuibuka na Ushindi kwenye mchezo wa kesho utakaopigwa kuanzia majira ya saa 12:15 Jioni
0 Comments