VUNJA BEI: NIMEINGIA HASARA KATIKA UANDAAJI WA JEZI ZA SIMBA.

Mtengenezaji Mkuu na Msambazaji wa Jezi za Klabu ya Simba Fredi Vunja Bei Amesema kutokana na Mabadiliko ya Mdhamini Mpya wa Klabu hiyo kumefanya Apate Hasara ya Dola 150,000 (Zaidi ya Tsh. Milioni 349) Kwani Alikuwa Tayari Ameshaanza kudizaini Jezi zenye logo ya Mdhamini wa Awali.

Post a Comment

0 Comments