TUNAPITIA MAUMIVU MAKALI MNO

KATIKA mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Yanga, huu ukiwa mchezo unaoashiria kuanzia kwa msimu mpya wa ligi kuu wa Soka bara msimu wa Mwaka 2022/23.

Kwa bahati mbaya mchezo wa jana haukuwa mzuri kwa Simba SC lisha ya kuongoza kwa kipindi cha kwanza lakini Yanga waliporudi kipindi cha pili walifanya mabadiliko na kushinda magoli 2 dhidi ya Simba 1.

Sasa hapa nimekusogezea ufahamu alichokisema Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally baada ya matokeo yao dhidi ya Yanga.


Post a Comment

0 Comments